KAMATI YA MATENDO YA HURUMA (HOSPITALITY)
Kamati:
- Anthony Uisso ( Mwenyekiti) UDHURU
- Annamaria Anthony (M/KitiMsaidizi) UDHURU
- Francis Philemon (Mjumbe)
- ScholastikaKanyika (Mjumbe)
- TumainiMfujege (Mjumbe)
- Bether William (Mjumbe)
- Veronica Mbawa (Mjumbe)
- Kuhakikisha
kila tunadumisha undugu na Upendo katika jumuiya yetu na nje ya jumuia
tukisaidiana katika shida na raha, yaani ukiwa mhitaji/shida mfano,
kuugua,kufiwa na shida nyinginezo kuhakikisha tunajua nani ana uhitaji gani na
kumfikia kumfariji na kumsaidia kadiri Mungu atavyotuwezesha na kutuongoza.
- Kuwasaidia
wahitaji wa Nje ya kikundi; mfano.wagonjwa, yatima,wafungwa n.k
Walengwa:
- Wageni
katika kuwakaribisha ndani ya kikundi chetu cha IFM charismatiki
- Wanakikundi
wapya katika kuhakikisha wanajiunga nasi kutokana na uhalisia.
- Wanakikundi
wote katika matendo ya jumuiya (sherehe,harusi, ugonjwa, matendo ya ukarimu kwa
wanakikundi na nje ya kikundi
Huduma:
Ufuatiliaji wawanakikundi
wapya kwakuhakikisha wanapata
habari njema nahusika ili waweze kubaki na Yesu pia kikundi katika uhalisia wahali
kabla hawajaingia kwenye huduma husika.
-Mahudhurio ya
wanakikundi cha IFM Karismatiki,wageni na wanaotaka kujiunga na kikundi.
-Kushiriki huduma
tunazopangiwa na kamati kuu.
Mikakati (2012):
i) Kuandaa
vipindi vya mafundisho kuhusu huduma wakati wa masaa ya fellowship.
ii) Kutayarisha
wanakikundi wapya katika kutambua karama husika ndani ya kikundi
iii) Kuandandaa
matendo ya huruma mara angalau mara 3 katika mwaka huu.