-Utangulizi
-Malengo
-Tunu
-Mafanikio
-Changamoto
-Masuluisho
Charismata, in Greak, maana yake ni Zawadi, 1967 Dukwen University, 1993 ICCRS was instituted
1985 office za Karismaki zilianzishwa
Malengo:
NB Malengo ya Kanisa, ndiyo malengo ya Kanisa Katoliki Luk4:19-19 au Mathayo 28:18-20, Canon Law a210-2011.
1.Kusaidia watu wakue na kuendelea katika mahusiano binafsi na Utatu Mtakatifu: To Encounter with the person of Jesus Christ in your life.
2.Kuwasaidia watu wajue umuhimu wa Roho mtakatifu katika kuwaongoza, Kujue uwezo na kuonja nguvu za Roho mtakatifu
3.Kuwasaidia watu wapokee na kutumia karama za Roho mtakatifu latika kukijenga kanisa
4. Kufanya uinjilishaji kwa nguvu za Roho Mtakatifu. "Twendeni masokoni tuwahubirie, masokoni, mashambani, na kila mahali tuwahubirie watu wote habari njema" Rom10:17
Kuinjilisha walioko ndani ya kanisa, mifumo ya kijamii,
5. Kumshuhudia Yesu kwa maneno na kwa matendo.
6. Kusaidia watu kukua katika utakatifu, utume, ushiriki wa Sakramenti za kanisa, na kudumisha umoja wa kanisa kwa kuhimiza yale yafundishwayo na kanisa. Kuleta uhai katika liturjua
By Ev. Ladislaus T. Mulokozi
IFM Fellowship is a Christian youth based fellowship that brings together more than 60 youth to learn, praise,worship and glorify Jesus Christ in their life.